Mamba mkubwa auwawa katika hotel ya Tilapia jijini Mwanza




MAMBA MKUBWA AUWAWA KTK HOTEL YA TILAPIA LEO HII Kwa habari niliyopata hivi punde Inasemekana Mamba ameuawa pembezoni mwa hoteli ya Tilapia jijini Mwanza leo mchana.Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka katika eneo la kivuko cha kwenda Hifadhi ya Saanane pale Capri point wilayani Nyamagana mkoani Mwanza na hivyo kuleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo

posted from Bloggeroid

Comments