Korea Kaskazini imefungua mawasiliano na korea kusini

Korea Kaskazini imefungua mawasiliano
Korea Kaskazini imefungua mawasiliano ya simu na Korea Kusini ili kuanzisha mazungumzo kuhusu kushiriki kwake katika mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika mwezi ujao.

Mara ya mwisho mataifa hayo kufanya mazungumzo ilikuwa ni Desemba, 2015

Comments