Nyama ya aina hii ni hatari kwa afya
Ndugu zangu mkiona nyama ina vijidude vyeupe kama hapo chini muitupe kwani hayo ni maradhi na inabidi nyama hiyo isiliwe itupwe. Hao ni wadudu wanaitwa systcercusbovis, na ukiwala wanaendeleza life cycle yao kweny mwili wa mwanadamu na ngombe akiwa na hao wadudu hafai kuliwa ngombe mzima na anatakiwa afukiwe

Comments
Post a Comment