Hatimaye mti uliokuwa umegoma kung'oka mjini mwanza umekatwa

Baada ya Sintofahamu iliyokuwa imetanda Mtaa wa Pasiansi  Ilemela Jijini Mwanza kufuatia Mti uliotakiwa kukatwa na wafungwa wa Butimba kama kuni na kupisha upanuzi wa Barabara,kuelezwa kuwa umekataa kwa sauti huku ukivuja Damu hali iliyopelekea wananchi kufurika kushughudia maajabu hayo hatimaye leo Mti huo umeanguka Rasmi na kuondolewa katika eneo hilo. www.mwanzaniani.blogspot.com

Comments