HISTORIA FUPI YA SCORPION:
HISTORIA FUPI YA SCORPION:
Alivyokuwa mdogo alikataa kusoma mama yake mzazi alishafariki siku nyingi na alikuwa akilelewa na mama yake mdogo maeneo ya Yombo buza.
Alishawahi kufungwA jela japo haijajulikana alikosa nini, najina lake kamili ni Salum Njwope na jina hilo nila babu yake.
Kwa mujibu wa mama yake mdogo anasema Scorpio alipokua akitoka nyumbani usiku saa mbili anamuaga mama yake mdogo huyo kuwa anakwenda kwenye kazi ya ubaunsa katika club kumbe mwenzie alikuwa anaenda buguruni kuibia watu mpaka asubuhi ndio anarudi nyumbani.
Napia alianza mafunzo ya kucheza caret tangu akiwa mdogo sana napia ni mtu mwenye nguvu za kuzaliwa nazo.

Pia scorpion ashawahi kushiriki katika shindano lililojulikana kama dume challenge kama miaka mitatu iliyopita na aliibuka mshindi.

Kuna kipindi aliondoka nyumbani kwao kwa muda mrefu mama yake mdogo anadai alikuwa hajui yuko wapi mpaka baadae aliporudi mwenyewe nyumbani.

www.mwanzaniani.blogspot.com

Comments
Post a Comment