Scan vyeti vyako kwa simu, download camscanner application hapa
Camscanner ni application nzuri yakuscani
Vyeti, au kitu chochote kilichopo kwenye hardcopy na kuviweka katika softcopy. Hakuna haja ya kwenda stationary
https://www.camscanner.com/mobile/faq?language=en-us&platform=android&device=phone&vendor=Market&version=4.0.1.20160728&type=download_and_purchase

 Download hapa application yakuscani Vyeti https://www.camscanner.com 
a) Fungua application yako ya camscanner
b) utaona icon ya camera bonyeza hapo
c) piga picha Cheti chako na utaweka size unayotaka wewe(crop)
d) save scanned material in PDF form, unaweza kutuma kwa email na mtu akakiprint kama kawaida
Comments
Post a Comment