Mwanza yakumbwa na tetemeko la ardhi
Kutoka Mwanza. Tetemeko latokea mkoani Mwanza huku maeneo yaliyoathiliwa kwa kiasi kikubwa na tetemeko hilo ni Chato, bukoba,Geita,musoma. Taarifa zinaonyesha tetemeko limeathili sana familia za bukoba na watu kukosa makazi kwa sasa. Tetemeko la ardhi huanzia kwenye chanzo ambapo wataalamu husema madhara yake huonekana sehemu ambapo litaishia yanii (epicenter). Inaripotiwa watu kadhaa kujeruhiwa katika maeneo yaliyokumbwa kwa kiasi kikubwa na tetemeko la ardhi hilo. Idadi ya watu waliofariki ikiwa tiari utaipata
Comments
Post a Comment