Download Mobdro application inayokuwezesha kuangalia channel zaidi ya 200 kwa simu yako online
Application hii unaweza kuiweka (install) kwenye simu yako na itakupa uwezo wa kuchagua ni channel ipi unataka uangalie, Hakuna haja yakugombania remote uwapo sitting room
Bonyeza link hii kuweza kudowload application ya Mobdro
Go to http://www.mobdro.com and download the latest version.
Au nenda play store alafu andika Mobdro itakuja hapo ndio utajionea channel za movies, vichekesho, mpira na channel nyinginezo


Download hapa application hiyo http://www.mobdro.com

Comments
Post a Comment