Waziri Nape Nnauye kavifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo niMagic Fm ya Dar es salaam naRadio 5ya Arusha
August 29 2016 August 29 2016Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezoNape Nnauyeametangaza kuvifungia vituo viwili vya radio kwa muda usiojulikana ambavyo niMagic Fmya Dar es salaam naRadio 5ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.WaziriNapeamesema…>>>’Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar kwa muda usiojulikana kwa kosa la uchochezi, hadi sasa nimeelekeza kamati ya maudhui kuviita vyombo hivyo na kuwasikiliza kwa kina kisha kunishauri hatua zaidi ya kuchukua‘‘Adhabu hii ya kuvifungia kwa muda vituo hivyo viwili inaanza leo August 29 2016 hadi pale kamati itakapomaliza kazi yake, kimsingi radio zote mbili kwa pamoja wametangaza na kutoa habari ambazo zina uchochezi ndani yake‘ –Waziri Nape Nnauyeya Dar es salaam naRadio 5ya Arusha kwa makosa ya kutangaza na kutoa habari za kichochezi.WaziriNapeamesema…>>>’Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic Fm Dar kwa muda usiojulikana kwa kosa la uchochezi, hadi sasa nimeelekeza kamati ya maudhui kuviita vyombo hivyo na kuwasikiliza kwa kina kisha kunishauri hatua zaidi ya kuchukua‘‘Adhabu hii ya kuvifungia kwa muda vituo hivyo viwili inaanza leo August 29 2016 hadi pale kamati itakapomaliza kazi yake, kimsingi radio zote mbili kwa pamoja wametangaza na kutoa habari ambazo zina uchochezi ndani yake‘ –Waziri Nape Nnauye

Comments
Post a Comment