Udom Sr kama bado inasumbua fanya ivi
Udom Sr kama bado inasumbua fanya ivi
1.washa data
2. Ingia kwenye Sr hadi kwenye teachers assessment
3,Zima data naupige tick. ✔
na YES tu ukiwa Offline . . .
Itakuleta kimessage cha cancel au retry bonyeza cancel afu endelea
4.jaza tick, ✔ kwenye kibox cha 5 kila sehemu haraka haraka
5.KUMBUKA haina ulazima kucoment kwenye Vibox vilivyopo. Viache kama vilivyo
6.Ukimaliza kujaza za washa data haraka haraka na mwisho utaona botton mbili za kjana then clik ilivyoandikwa
RATE .
Ikisumbua rudia tena
Source www.mwanzaniani.blogspot.com
Comments
Post a Comment