Wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaosomea diploma ya ualimu wa shule ya msingi na sekondary wafukuzwa chuoni
Wanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma wanaosomea diploma ya ualimu wa shule ya msingi na sekondary wafukuzwa chuoni hapo na kuzua taharuki kubwa miongoni mwa wanafunzi. Kwa sasa wameamuliwa
Kutoonekana chuoni mpaka hapo wizara itakapotoa taarifa juu ya wanafunzi hao
Comments
Post a Comment