HABARI ZA HIVI PUNDE Bomu Uganda 2010: Wahusika wafungwa maisha Jela

Watu watano waliopatikana na hatia ya mashtaka ya ugaidi kufuatia shambulio la bomu la mwaka 2010 katika mji mkuu wa Uganda Kampala ambalo liliwaua watu 74 wamepewa hukumu ya kifungo cha maisha jela.

Comments