Ndege ya kampuni ya Emirates imepata ajali wakati ikijaribu kutua dubai na kuwaka moto

Ndege hiyo Imepata ajali wakati ikijaribu kutua katika uwanja wa dubai na mda mchache kuwaka moto. Abilia wote 275 wametoka salama kwenye ndege hiyo kabla haijaripuka. Majeruhi wamepelekwa hospitali kwa matibabu zaidi. Chanzo cha ajali inasemekana ingini iliwaka moto hivyo kusababisha taili la mbele kushindwa kutua vizuri na kusababisha moto. Wasafiri na ndugu wapo airport wakisubiri utaratibu na pia safari za ndege zimesitishwa kwa muda



Posted via mwanzaniani.blogsport.com

Comments