KUKOSEKANA KWA W A DARAJA KATIKA MTO MBAKA

‪#‎Habari‬:Kukosekana kwa daraja katika mto Mbaka unaotenganicha kitongoji cha Kibundugulu na kijiji cha Mbaka wilayani Rungwe kumekuwa kukisababisha maafa ya mara kwamara kwa wananchi ambao hulazimika kuvuka mto huo kwa kamba na wengine kupiga mbizi kwa ajili ya kufuata huduma muhimu za kijamii ng’ambo ya mto huo.
www.itv.com

Comments